Issubi
๐Ÿ›’

Apps zinazoendelezwa kwa uhalisia wa biashara za Kiafrika.

Issubi ni mahali pa kupata apps zinazoendelezwa kuanzia chini (From scratch) โ€” zikifanya kazi bila mtandao, kwa watu wanaohitaji zifanye kazi kwanza, kabla ya kuwa za kifahari.

APP 01 ยท APP YA KWANZA

Pharmacy Manager

Mfumo wa kusimamia maduka ya dawa (Pharmacies) โ€” mauzo, stock, na rekodi โ€” unaofanya kazi bila mtandao.

Inakuja Agosti