HomeBidhaa
Duka
🛒
HomeBidhaa
Jifunze
AcademyKoziDuka
Gundua
BloguInshaUtafitiMashindano

Apps zinazoendelezwa kwa uhalisia wa biashara za Kiafrika.

Issubi ni mahali pa kupata apps zinazoendelezwa kuanzia chini (From scratch) — zikifanya kazi bila mtandao, kwa watu wanaohitaji zifanye kazi kwanza, kabla ya kuwa za kifahari.

APP 01 · APP YA KWANZA

Pharmacy Manager

Mfumo wa kusimamia maduka ya dawa (Pharmacies) — mauzo, stock, na rekodi — unaofanya kazi bila mtandao.

Inakuja Agosti